WALIO CHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2014
Nafasi
za kujiunga na kidato cha tano mwaka 2014 kwa wanafunzi waliomaliza
mwaka jana zimetangazwa rasmi muda huu jijini dare s salaam na naibu
waziri wa TAMISEMI Bw KHASIM MAJALIWA ambapo zaidi ya wanafunzi 16800
wamekosa nafasi hizo kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo upungufu wa
shule za kidato cha tano….
Akitangaza majina na shule walizopangiwa wanafunzi hao Mh MAJALIWA amesema
kuwa
jumla ya wanafunzi 54085 sawa na alimilia 75.61 ya wanafunzi 71527
waliostahili kuingia kidato cha tano mwaka huu wamechaguliwa huku
wavulanai ni 31352 wakati wasichana ni 22733 ambapo ni sawa na ongezeko
la wanafunzi 20402 kwa kulinganisha na wanafunzi 33683 walochaguliwa
mwaka jana.
Wanafunzi
waliochaguliwa kujiunga na shule mbalimbali wataanza kuripot katika
meneo yao tarehe 10 julai mwaka huu ambapo mwisho wa kufika katika shule
walizopangiwa ni tarehe 30 julai mwaka huu ambapo amesema kuwa kwa wale
ambao watakuwa hawajaripot hadi tarehe hiyo nafasi zao zitajazwa na
waliokosa nafasi.
——————————————–
Majina ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga Kidato cha Tano mwaka 2014
——————————————–
Majina ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga Kidato cha Tano mwaka 2014
1. Wasichana — Shule Zote << BOFYA HAPA>>
2. Wavulana — Majina ya Shule A Mpaka L << BOFYA HAPA>>
3 .Wavulana — Majina ya Shule M mpaka Z << BOFYA HAPA >>
2. Wavulana — Majina ya Shule A Mpaka L << BOFYA HAPA>>
3 .Wavulana — Majina ya Shule M mpaka Z << BOFYA HAPA >>
Chapisha Maoni