Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Wilson Masilingi na
mkewe Marystela Masilingi na wageni wao wakihudhuria gala Dinner ya
DICOTA 2016 iliyofanyika siku ya Ijumaa April 29, 2016 katika hotel ya
Hyatt Regency Dallas, Texas nchini Marekani. Katika gala Dinner
kulikuwepo Balozi alishiriki utoaji vyeti kwa wadau mbalimbali na yeye
mwenyewe kupewa zawadi kutoka menej wa Turkish Air ambao walikua nikati
ya wadhamini wa kongamano la DICOTA 2016. Picha na Vijimambo/Kwanza
Production.
Wageni waalikwa wakiwa kwenye gala dinner ya kongamano la DICOTA 2016.
Wadau
waliohudhuria kongamano la DICOTA 2016 wakiwa kwenye Gala Dinner siku
ya Ijumaa April 29, 2016 katika hotel ya Hyatt Regency Dallas, Texas
nchini Marekani.
Gala Dinner ikiendelea.
BALOZI WILSON MASILINGI AKIKABIDHI VYETI KWA WADAU MBALIMBALI
RAIS WA DICOTA NDAGA MWAKABUTA AKIPEWA ZAWADI MAALUM NA DICOTA KWA MCHANGO NA KAZI NZURI ANAYOIFANYA.
SHIRIKA
LA NDEGE LA TURKISH LIKITOA TIKETI YA NDEGE KWA MSHINDI AMBAYE ALIKUA
NI STEVE KUTOKA MASSACHUSETTS NA WALITOA ZAWADI MBALIMBALI KWA WADAU WA
DICOTA AKIWEPO ZAWADI KWA MHE. BALOZI WILSON MASILINGI.
BURUDANI
FASHION SHOW
Chapisha Maoni