DODOMA
June 02 2016 bunge la 11 limeendelea Dodoma huku kazi kubwa ikiwa ni maswali na majibu kutoka kwa Wabunge huku yakitolewa majibu na Mawaziri, Wabunge mbalimbali walipata nafasi ya kusimama na kuwasilisha maswali yao. Nakukutanisha na MbungeJumaa Aweso kutoka Pangani na Doto Biteko wa Bukombe.
ULIIKOSA HII? MBUNGE BOBANI KAHOJI AHADI YA JPM KUMRUDISHA YULE MJUSI ALIYEPELEKWA UJERUMANI
Chapisha Maoni