NEWSROOM NEWSROOM Author
Title: VIDEO: Swali la Mbunge Abdallah Ulega kwa Waziri wa Ujenzi, kero ya barabara jimboni kwake
Author: NEWSROOM
Rating 5 of 5 Des:
HOME DODOMA Tunaendelea kuzisogelea headlines za bungeni Dodoma ambapo lao June 02 2016 bunge lilikuwa na kipindi cha maswali ...
HOME

DODOMA

Tunaendelea kuzisogelea headlines za bungeni Dodoma ambapo lao June 02 2016 bunge lilikuwa na kipindi cha maswali na majibu pekee kutoka kwa Wabunge huku yakitolewa majibu na Mawaziri. Mmoja wa waliopata nafasi ya kuuliza ni pamoja na Mbunge wa Mkuranga Abdallah Ulega
>>>’Je, ni lini Serikali itawasaidia wananchi wa Mkuranga kwa kuwaunganisha kwa barabara moja kwa moja kutoka Mkuranga, Kisarawe hadi Kibaha bila kupitia mkoa wa Dar es salaam?‘ 

ULIIKOSA HII? MBUNGE KITETO KOSHUMA KASIMAMA KUHOJI ZILE MILION 50 ZA RAIS MAGUFULI KILA KIJIJI


About Author

Advertisement

Chapisha Maoni

 
Top