MATOKEO YA USAILI WA SEKRETARIETI TA AJIRA ULIOFANYIKA TAREHE 18 JULAI 2014
Usaili utafanyika sehemu zifuatazo:
1.COMPUTER
SYSTEM ANALYST GRADE II (SYSTEM ADMINISTRATION) - USAILI WA ANA KWA ANA
utafanyika ofisi za Sekretarieti ya Ajira, Maktaba Complex tarehe 19
Julai 2014 saa 1 asubuhi
2.COMPUTER
SYSTEM ANALYST GRADE II (NETWORK MANAGEMENT) - USAILI WA ANA KWA ANA
utafanyika ofisi za Sekretarieti ya Ajira, Maktaba Complex tarehe 19
Julai 2014 saa 1 asubuhi
3.COMPUTER
SYSTEM ANALYST GRADE II (DATABASE ADMINISTRATION) - USAILI WA ANA KWA
ANA utafanyika ofisi za Sekretarieti ya Ajira, Maktaba Complex tarehe 19
Julai 2014 saa 1 asubuhi
4.COMPUTER
SYSTEM ANALYSIS II (APPLICATIONS DEVELOPMENT/PROGRAMMERS)- USAILI WA ANA
KWA ANA utafanyika ofisi za Sekretarieti ya Ajira, Maktaba Complex
tarehe 19 Julai 2014 saa 1 asubuhi
NB:
WASAILIWA WANATAKIWA KUZINGATIA MUDA NA SEHEMU ILIYOTAJWA KWA AJILI YA
USAILI NA KUJA NA VYETI HALISI (ORIGINAL CERTIFICATES).
KADA:COMPUTER SYSTEM ANALYST II (DATABASE ADMINISTRATION)
MWAJIRI: eGOVERNMENT AGENCY
NUMBER SCORE REMARKS
eGA-CSAII-DB-ADMN PRACT -004 95 SELECTED
|
|
Read more... |
Chapisha Maoni