HOME

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimsikiliza Balozi wa China hapa nchini Dkt. Lu Youqing Ikulu jijini
Dar es Salaam. Balozi Dkt. Lu alifika Ikulu jijini Dar es Salaam kwa
ajili ya kuzungumza masuala mbalimbali ya kimaendeleo na Rais Dkt.
Magufuli.
Balozi
wa China hapa nchini Dkt. Lu Youqing akimkabidhi Rais Dkt. John Pombe
Magufuli ujumbe wa barua ya kumpongeza kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Rais wa China Xi Jinping
Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Balozi wa China hapa nchini Dkt. Lu Youqing mara baada ya kumaliza
mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha na Balozi wa China hapa nchini Dkt. Lu Youqing wanne kutoka
kushoto, Waziri wa Ujenzi Profesa Makame Mbarawa wapili kutoka kulia
pamoja na maafisa wengine kutoka nchini na Ubalozi wa China.





Chapisha Maoni