Unknown Unknown Author
Title:
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
HOME Breaking news: katiba ipi kutumika kwenye uchaguzi mkuu 2015 Tanzania? kimeafikiwa kipi?   Ni taarifa kutoka bungeni a...
HOME

Breaking news: katiba ipi kutumika kwenye uchaguzi mkuu 2015 Tanzania? kimeafikiwa kipi?

 

Ni taarifa kutoka bungeni ambayo itasaidia kukata kiu ya waliokua wanaisubiria au wanasubiri kufahamu kuhusu katiba mpya ambayo imekua ikiundwa, kama itatumika kwenye uchaguzi mkuu ujao mwakani.
Ripoti kutoka  Dodoma zina take headlines kwamba katiba ya zamani ndio itakayotumika kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka kesho 2015 lakini itafanyiwa marekebisho ambayo ni 1. kumpa ruhusa mgombea binafsi kugombea, 2. kuwa na tume huru ya uchaguzi ya kusimamia uchaguzi, 3. mshindi wa Urais ashinde kwa zaidi ya asilimi 50, 4. matokeo ya uchaguzi wa Urais yaweze kupingwa Mahakamani, 5. kuwe na tume huru ya kusimamia uchaguzi.
‘Vyama vya siasa vinavyopenda kupendekeza mambo mengine ya kurekebisha katika katiba ya Jamuhuri ya muungano ya mwaka 1977 vinaombwa kufanya hivyo mapema’ – John Cheyo
Haya yametokana na kikao kilichofanyika kati ya Rais Kikwete na kituo cha demokrasia Tanzania ambapo Mwenyekiti wa kituo hicho John Cheyo.

About Author

Advertisement

Chapisha Maoni

 
Top