HOME USA yaitaka K.Kazkazini kuilipa Sony Wakuu ...
HOME
USA yaitaka K.Kazkazini kuilipa Sony
Wakuu wa kampuni ya filamu ya Sony
Pictures.Marekani imeitaka Korea Kazkazini kuilipa kampuni hiyo kwa
hasara iliopata baada ya madai ya kuhusika na uhalifu wa mtandao dhidi
yake
Marekani imezitaka China na nchi zingine kuthibitisha kuwa Korea
Kaskazini ilihusika na uhalifu wa mtandao dhidi ya kampuni ya Sony
Pictures.
Marekani inasema kuwa Korea Kaskazini ni lazima ikiri kuwa ilihusika na iilipe Kampuni ya Sony kutokana na hasara ambayo imepata
Korea Kaskazini imeyataja madai hayo ya Marekani kuwa ya uongo.
Wataalamu wanasema kuwa kuna ushahidi wa kutosha kuwa Korea Kaskazini ilihusika.
Lakini
mwandishi wa BBC nchini Korea Kusini anasema kuwa kampuni ya Sony
Pictures nchini Marekani na wakuu wake nchini Japan watahitajika kuamua
iwapo wataonyesha filamu ya uchesi yenye utata ya rais wa Korea
Kazkazini Kim Jong-un.
The part time Blogger love to blog on various categories like Web Development, SEO Guide, Tips and Tricks, Android Stuff, etc including Linux Hacking Tricks and tips. A Blogger Template Designer; designed many popular themes.
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.