HOME
Kuna ile tabia ya wizi wa mabegi ambao hutokea mtu akiwa safarini, zile za mtu kufungua begi lisilo lake, zote hizo dawa yake ni hii teknolojia ya eGeeTouch.
Smart Luggage Lock inafanya kazi kwa kutumia App inayowekwa kwenye smartphone au gadget, ili kufungua utakachokifanya ni kuswipe simu yako juu ya lock hiyo.
Nimekuwekea Video ya maelekezo ya lock hiyo inavyofanya kazi.
Sasa simu imepewa nguvu kufanya ulinzi wa begi lako ukiwa safarini!
Kuna ile tabia ya wizi wa mabegi ambao hutokea mtu akiwa safarini, zile za mtu kufungua begi lisilo lake, zote hizo dawa yake ni hii teknolojia ya eGeeTouch.
Smart Luggage Lock inafanya kazi kwa kutumia App inayowekwa kwenye smartphone au gadget, ili kufungua utakachokifanya ni kuswipe simu yako juu ya lock hiyo.
Kampuni iliyotengeneza kifaa hicho
imesema imeamua kutengeneza kifaa hicho badala ya kufuli kwa kuwa kufuli
inaonekana kama matumizi yake ni mtindo wa kizamani kwa wasafiri na pia
hii huongeza usalama zaidi.
Mtumiaji anayetumia lock hiyo lazima
akumbuke alivyoswipe na iwe siri yake pia kama ilivyo kwa matumizi ya
password, lock ina battery ambayo inakaa na chaji mpaka miaka mitatu,
pia unaweza kuichaji kwa kutumia waya wa USB.
Unadhani hii kwa Bongo inaweza kusaidia? Cheki pichaz na Video halafu nitafurahi kama ukiniandikia chochote.
Nimekuwekea Video ya maelekezo ya lock hiyo inavyofanya kazi.
Chapisha Maoni