HOME
Walijua wanachokunywa ni Whisky, kumbe… Aliyewauzia kafungiwa kufanya biashara.
Nicholas Stewart alitumia chupa zenye nembo ya Smirnoff, Jack Daniels pamoja na Vodka ili watu wasigundue kwamba anachowauzia haikuwa whisky, chupa hizo zilijazwa mkojo.
Mshtakiwa huyo alikamatwa siku ya pili
baada ya kuwauzia wateja kwa wingi mkojo huo aliokuwa amechanganya na
maji ambapo alikua akitumia kipimo kile kile ambacho hutumika kupimia
whisky.
Mwendesha mashtaka Victoria Cartmell kabla
ya kutoa hukumu alipokea majibu kutoka kwa mkemia Mkuu ambapo
yalionyesha kwamba kilichokuwa kwenye chupa sio whisky feki ila ilikuwa
ni mkojo, adhabu aliyopewa haikuwa kifungo cha jela kama ambavyo wengi
walitarajia, amefungiwa kufanya biashara ya kuuza vinywaji kwa miezi 2.
Chapisha Maoni