Huenda ulipitwa na hii ya mgomo wa Walimu Kenya, itazame hapa hali ilivyokuwa (Video)
Moja ya story zilizochukua headlines
kutoka Kenya siku ya jana January 05 ilikuwa ni ishu ya mgomo wa walimu
wa shule za Serikali wakidai nyongeza ya mshahara.
kutoka Kenya siku ya jana January 05 ilikuwa ni ishu ya mgomo wa walimu
wa shule za Serikali wakidai nyongeza ya mshahara.
Taarifa ya Kituo cha Citizen imebaini kuwa wanafunzi wengi walioenda shuleni walilazimika kurudi nyumbani kutokana na kutokuwepo kwa walimu.
Mgomo huu umeanza siku ya kwanza ambapo
shule zilikuwa zinafungua baada ya mazungumzo ya Serikali na Chama cha
Walimu kutofikia muafaka.
shule zilikuwa zinafungua baada ya mazungumzo ya Serikali na Chama cha
Walimu kutofikia muafaka.
Hapa unaweza kujionea hali ilivyo kupitia taarifa iliyoripotiwa na Citizen TV.
Chapisha Maoni