HOME
Elizabeth Michael ‘Lulu’
ni staa kutoka kiwanda cha filamu Tanzania, April 24 2016 amezichukua
headline kwa kuandika yafuatayo kupita mtandao wake wa instagram ni
baada ya kupost picha inayoonesha pete kwenye mkono wake wa kushoto na
kuyaandika yafuatayo.

Haya ndio maandishi yaliyokuwa yakisomeka kwenye picha aliyoipost Lulu ‘MUNGU Wangu Kwa Neema Zako ambazo hazijawahi kuniacha

Maana
Hata hiki kitendo cha kishujaa kujinunulia Pete Nzuri Kama hii Ni Kwa
Neema tu Haya Acheni Umbea,hyo michezo yenu ya kuitana cjui kutagiana
mtavunja Vidole
….Kwa akili Yako nikinunuliwa/kuvalishwa ntakutangazia ?




Jumapili Njema
‘>>>Lulu
Haya ndio maandishi yaliyokuwa yakisomeka kwenye picha aliyoipost Lulu ‘MUNGU Wangu Kwa Neema Zako ambazo hazijawahi kuniacha











Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.