HOME
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 25 Aprili,
2016 amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa 26 ya Tanzania Bara.
Taarifa iliyotolewa leo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi
imeeleza kuwa kati ya Makatibu tawala hao 10 ni wapya, 2 wamebadilishiwa
vituo vya kazi na 13 wamebakisha katika vituo vyao vya sasa. Makatibu Tawala wapya walioteuliwa ni kama ifuatavyo;
Gerson Msigwa Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU Dar es salaam 25 Aprili, 2016
- Arusha - Richard Kwitega
- Geita – Selestine Muhochi Gesimba
- Kagera – Armatus C. Msole
- Kilimanjaro - Eng. Aisha Amour
- Pwani – Zuberi Mhina Samataba
- Shinyanga – Albert Gabriel Msovela
- Singida - Dr. Angelina Mageni Lutambi
- Simiyu - Jumanne Abdallah Sagini
- Tabora - Dkt. Thea Medard Ntara
- Tanga - Eng. Zena Said
- Kigoma - Charles Amos Pallangyo (Kutoka Mkoa wa Geita)
- Morogoro - Dkt. John S. Ndunguru (Kutoka Mkoa wa Kigoma)
- Dar es salaam - Theresia Louis Mbando
- Dodoma - Rehema Hussein Madenge
- Iringa – Wamoja Ayubu Dickolagwa
- Katavi – CP Paul Chagonja
- Lindi – Ramadhan Habibu Kaswa
- Mara – Benedict Richard Ole Kuyan
- Manyara – Eliakimu Chacha Maswi
- Mbeya- Mariam Amri Mjunguja
- Mtwara – Alfred Cosmas Luanda
- Mwanza - CP. Clodwing Mathew Mtweve
- Njombe – Jackson Lesika Saitabau
- Rukwa – Symthies Emmanuel Pangisa
- Ruvuma - Hassan Mpali Bendeyeko
Gerson Msigwa Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU Dar es salaam 25 Aprili, 2016
Chapisha Maoni