What's New?

9:05 PM

Unknown Unknown Author
Title: VIDEO: ‘Lazima tuvuje jasho, hakuna namna nyingine’ Waziri Mpango kutoka bungeni
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
HOME Vikao vya bunge la 11 vimeendelea tena leo April 20 2016 ambapo shughuli y...
HOME

Vikao vya bunge la 11 vimeendelea tena leo April 20 2016 ambapo shughuli ya uwasilishaji wa bajeti kwa baadhi ya wizara umefanyika ikiwemo Wizara ya Fedha na Mipango ambapo Waziri Philip Mpango aliwasilisha bajeti yake, nje ya Bunge alipata nafasi ya kuyazungumza hayagumza haya…….
>>>’tutakusanya kodi, tutakusanya na mapato yasiyo ya kodi kwa nguvu zote, tumechelewa mno watanzania wenzangu kwa sababu hiyo lazima tufanye kila jitihada, kila mwananchi alipe kile kinachopaswa hili tukiweke kwenye maendeleo’:-
>>>’lazima tuvuje jasho watanzania hakuna namna nyingine ya kuendelea lakini pia tutakwenda lakini pia kwa tahadhari, tutaendelea kwenda kukopa kwa msisistizo kwamba mikopo hii ielekezwe kwwenye miradi ya maendeleo’:-

https://youtu.be/kbgtBYGPzWk
20 Apr 2016

About Author

Advertisement

Chapisha Maoni

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top