Perfect Crispin ni mtangazaji wa Clouds FM ambaye hapa anatusogezea stori zilizochukua headlines kutoka kwenye tasnia ya Bongo Fleva.
Mei 11, 2016 ametusogezea
hizi stori tatu ikiwemo ya Harmonize kukana kucopy sauti na stlye za
Diamond Platnumz ambaye tangu kwenye Aiyola na Bado wadau wanasema kama
anamcopy Diamond.
Itazame hii video hapa kuna stori zingine ametusogezea ikiwemo ya FID Q na Mike Tee
ULIKOSA? EXCLUSIVE YA MADEE AKIZUNGUMZIA VIDEO YA ‘CHURA’ KUFUNGIWA, MIGULU PANDE NA MENGINE, UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HAPA CHINI
Chapisha Maoni