NEWSROOM NEWSROOM Author
Title: UMOJA WA ULAYA WAZINDUA KITABU CHA NISHATI JIJINI DAR ES SALAAM LEO.
Author: NEWSROOM
Rating 5 of 5 Des:
HOME Umoja wa Ulaya wamezindua kitabu cha nishati jijini Dar es Salaam leo, kwa lengo la kuwezesha Tanzania kuwa na nishati ya ukuw...
HOME


Umoja wa Ulaya wamezindua kitabu cha nishati jijini Dar es Salaam leo, kwa lengo la kuwezesha Tanzania kuwa na nishati ya ukuwaji wa uchumi endelevu.
 Balozi, Roeland Van De Geer akizungumza katika uzinduzi wa kitabu cha (Empowerin Tanzania Energy for Growth and Sustainable Development) jijini Dar es Salaam leo. Amesema kuwa Nishati ya Umeme hapa nchini lazima iwe kwa maendeleo endelev kwa kuwa Tanzania inatakiwa kuwa ni nchi ya viwanda inahitaji kuwa na umeme wa uhakika.
 Afisa Mipango wa Wizara ya Fedha na Mipango, Grace M Aloyce (Aiye simama) akizungumza katika uzinduzi wa kitabu cha Nishati jijini Dar es Salaam leo.
  Mhandisi wa Mradi kutoka REA, Mohamed Sauko akizungumza katika uzinduzi wa kitabu cha Nishati jijini Dar es Salaam leo.
 Mhandishi mtafiti kutoka TANESCO, Baraka Kampike akizungumza katika uzinduzi wa kitabu cha Nishati jijini Dar es Salaam.
  Balozi, Roeland Van De Geer akikata utepe kuzindua kitabu cha Nishati.
  Balozi, Roeland Van De Geer akionyesha baadhi ya kurasa za kitabu hicho leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wadau wakiwa  wameshika vitabu vya nishati.
 
Baadhi ya wadau wakiwa katika mkutano wa uzinduzi wa kitabu cha nishati jijini Dar es Salaam leo.

About Author

Advertisement

Chapisha Maoni

 
Top