Unknown Link Author Title: Author: Unknown Rating 5 of 5 Des: HOME Maamuzi magumu ya Mama baada ya watoto wake kulia kwa muda mrefu. ...
HOME

Maamuzi magumu ya Mama baada ya watoto wake kulia kwa muda mrefu.

Mwanamke mmoja jijini Washington amehukumiwa adhabu ya kifo baada ya kujaribu kuwaua watoto wake watatu kwa kuwakata koromeo ili waache kupiga kelele.

Christina Booth baada ya kufanya unyama huo, aliwapigia polisi simu na kuwaambia kuwa wanawe hao wamekua na tabia ya kulia mfululizo bila kunyamaza kitendo kilichomkasirisha na kuamua kutenda kosa hilo.

Polisi baada ya kufika eneo la tukio aliwakuta watoto hao ambao mmoja ana miaka miwili na wengine mapacha wana miaka sita,wakiwa taabani na kuamua kuwakimbiza hospitali kabla ya kumweka mama yao ndani kutokana na kufanya unyama huo.

12PreviousNext HOME Maamuzi magumu ya Mama baada ya watoto wake kulia kwa muda mrefu. Mwanamke mmoja jijin… malundelubuyi.blogsport.com 28 Jan 2015
Unknown Link Author Title: Author: Unknown Rating 5 of 5 Des: HOME Huyu mwanamke aliugundua ujauzito wake saa moja kabla ya kujifungua! Wanawake wanapokuwa wajawazito huwa na dalili mbalim...
HOME

Huyu mwanamke aliugundua ujauzito wake saa moja kabla ya kujifungua!

Wanawake wanapokuwa wajawazito huwa na dalili mbalimbali ambazo zinashiria kwamba kuna kiumbe kinatarajiwa kuzaliwa baadaye.

Lakini story ya mwanamke huyu inaweza kukushtua kidogo, alishindwa kufahamu kama ni mjamzito kwa kipindi chote cha miezi tisa.

Katie Kropas akiwa na mwanaye Ellie.

Katie Kropas anayeishi Massachusetts, Marekani alisema alikwenda hospitali baada ya kusumbuliwa na maumivu ya mgongo, alishangazwa na majibu ya madaktari waliompima na kumwambia kuwa vipimo vinaonyesha ni mjamzito na wakati wowote anaweza kujifungua.

Saa moja baada ya kupewa taarifa hizo, mwanamke huyo alijifungua mtoto wa kike na kumpa jina la Ellie.

“Nilijigundua ni mjamzito baada ya kuja hospotali na saa moja baadaye nikajifungua, nilijihisi uzito umeongezeka lakini sikujua kama ni mjamzito“– Katie.

12PreviousNext HOME Huyu mwanamke aliugundua ujauzito wake saa moja kabla ya kujifungua! Wanawake wanapokuwa wajawazito huwa na dalili mbalimbali ambazo zinashiria kwamba kuna kiumbe kinatarajiwa kuzaliwa baada… malundelubuyi.blogsport.com 12 Jan 2015