Unknown Unknown Author
Title: KINAMAMA KWA HILI MLANIWE!!!!!!!!!!!!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Thursday19/06/2014     KICHANGA CHATUPWA, MAMA ATIWA MBARONI     Mwili wa kichanga MWILI wa kichanga umeokotwa eneo la...


Thursday19/06/2014


   

KICHANGA CHATUPWA, MAMA ATIWA MBARONI

    Mwili wa kichanga
MWILI wa kichanga umeokotwa eneo la Njiro jijini Arusha juzi baada ya kudaiwa kutupwa na mama mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja.
Baada ya kichanga hicho kuokotwa, wananchi walitoa taarifa polisi waliofika na kufanikiwa kumkamata mama mwenye kichanga hicho.
Mama anayedaiwa kutupa kichanga akiwa na mwanae wa kwanza.
Mama anayedaiwa kutupa kichanga akiwa na mwanae wa kwanza.

About Author

Advertisement

Chapisha Maoni

 
Top