HOME
KUTANA NA REKODI ZA AJABU ZILIZOVUNJWA DUNIANI KOTE MWAKA 2014
Hii
ndio baiskeli kubwa zaidi duniani kuwahi kutokea imetengenezwa huko
nchini denmark na huyo mzee imeingia katika Guiness World Record 2014.
Pikipiki kubwa zaidi Duniani, imetengenezwa huko nchini Marekani
lakini bado haidaanza kuwa na uwezo wa kutembea ila imeingia
katika Guiness World Record 2014.
Ads by SavePass 1.1Ad Options
Huyu Jamaa ameingia kwenye Guiness World Record 2014 ya mwaka huu kwa kula pilipili kali 5000 ndani ya saa moja, ni mmarekani.
Mwendesha
baiskeli huyu apandidha ghorofa lenye floo 88 kwa kutumia baiskeli yake
hiyo nae ameingia mwenye kitabu cha Guiness World Record cha mwaka
2014.
Ng'ombe
mwenye mapembe marefu zaidi duniani huyo nchini Australia, ana mapembe
yenye urefu wa 277cm, ameingia kwenye Guiness World Record 2014 na
kuwekwa kwenye kitabu chao.
Ads by SavePass 1.1Ad Options
Kampuni
ya mbao nchini marekani imetengeneza mtego wa panya mkubwa zaidi
duniani na kuingia katika Guiness World Record 2014. Mtego huu unafanya
kazi kama ukitegwa na ni hatari sana unaweza kumuua hata binadamu.
Kampuni ya bia ya Guiness inchini Afrika ya Kusini imeingia kwenye Guiness
World Record ya mwaka 2014 baada ya kutengeneza glasi kubwa ya Guiness
ambayo ndani yake waliweka kinywaji cha bia yao ya Guiness yenye ujazo
wa lita 1499.
Timu
ya taifa ya Nigeria imeinga kwenye Guiness World Record 2014 baada ya
kutengeneza jezi ya timu yao ambayo ndio jezi ya timu ya taifa kubwa
zaidi duniani.
Chapisha Maoni