Unknown Unknown Author
Title:
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
HOME Baba huyu alishindwa kuvumilia kelele za mwanaye wa wiki mbili aliyekuwa akilia na kufanya maamuzi magumu! Baba aliyejulikan...
HOME


Baba huyu alishindwa kuvumilia kelele za mwanaye wa wiki mbili aliyekuwa akilia na kufanya maamuzi magumu!


case
Baba aliyejulikana kwa jina la Nemanja Petrovic, aliamua kumtupa mtoto wake wa siku 15 kutoka gorofa ya kwanza baada ya kumbembeleza kwa muda mrefu bila kunyamaza.
Mwanaume huyo alisema amechukua hatua hiyo baada ya kushindwa kulala kutokana na kelele za mtoto huyo aliyekua akilia wakati wote.
Mtoto huyo alifariki muda mchache baada ya kuanguka chini na Polisi wa nchini humo wanamshikilia baba huyo huku wakiendelea na upelelezi kujua mama wa mtoto huyo alikua wapi wakati tukio hilo likitokea.

About Author

Advertisement

Chapisha Maoni

 
Top