HOME
Upigaji wa picha kwa njia ya Selfie umeendelea kuwa gumzo dunia nzima na kufanya ongezeko la ununuaji wa simu za smartphone kuongezeka kwa wingi.
Wanachuo watatu huko New Delhi, India Yakub, Afzal, na Iqbal wamepoteza maisha baada ya kunogewa kupiga picha za selfie katika barabara ya treni na kufariki hapo hapo.
Kwa
mujibu wa polisi walisema mmoja wa wanafunzi hao ambaye alinusurika
kufa alisimulia kuwa walikua wakisafiri kwa gari kwenda kwenye mji wa Agra, na
baadaye kuamua kushuka eneo la treni kwa lengo la kupiga selfie huku
yeye akiwapiga picha ili kuziweka kwenye mitandao ya kijamii ambapo
wakiwa hawajui kinachoendelea treni ilikuja kwa kasi na wote watatu
kufariki.
Kisa Selfie! wanafunzi hawa wa chuo wamepoteza maisha

Wanachuo watatu huko New Delhi, India Yakub, Afzal, na Iqbal wamepoteza maisha baada ya kunogewa kupiga picha za selfie katika barabara ya treni na kufariki hapo hapo.

Chapisha Maoni