HOME
millardayo.com ilifika kwenye moja ya sehemu zilizodaiwa kukumbwa na kashikashi ya kundi la Panya Road Dar es salaam January 2 2015 iitwayo Plaza Catalunya ambako Mtangazaji Ephraim Kibonde na wateja wengine walilazimika kulala chini.
Mkurugenzi wa Catalunya Mr. Atik ameiambia millardayo.com >>> ‘Kuhusu kadhia ya hawa Panya Road niliona watu wanakimbia wakitokea Mlimani City, Sinza A na Meeda ambapo Wateja wetu walikua wamerelax wanasikiliza mziki lakini walivyoona watu wanakimbia wakapaniki na wakaanza kukimbia’
‘Hakuna uharibifu wowote uliotokea Catalunya wala gari la mteja lililovunjwa ila Wateja tu wameumia kidogo kwa kukatwa na vyupa na glasi kutokana na zile purukushani za watu kulala chini kujificha ila hakuna aliejeruhiwa na kundi la Panya Road’ – Mr. Atik
Picha 12 za Bar moja wapo kati ya zilizoripotiwa kukumbwa na kadhia ya Panya Road Dar es salaam.

Chapisha Maoni