Unknown Unknown Author
Title: Jukwaa huru wanasema kama serikali imekataa live Bunge, wafanye na yafuatayo pia
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
HOME Utaratibu mpya bungeni ni wa timu maalum iliyopewa kazi maalum ya kurekodi mat...
HOME
Utaratibu mpya bungeni ni wa timu maalum iliyopewa kazi maalum ya kurekodi matukio ya Bunge yote yanayofaa kufikishiwa Wananchi na hayo matukio ndio wanapewa waandishi wa habari ila hakuna tena utaratibu kama wa zamani kwamba kila mwandishi anaweza kurekodi kwa Camera yake chochote anachoona ni habari.
April 24 2016 Jukwaa Huru la Wazalendo Tanzania ‘JUHWATA’ limetoa tamko la mwenendo wa shughuli za bunge ambapo limeiomba Serikali kama wameamua kuzuia bunge kutoonyeshwa pia waache kuonyesha maswala yao ya Kiserikali kuweka usawa na kutoonyesha bunge na badala yake muda huo wananchi wakafanye kazi za kujiingizia kipato badala ya kuangalia vipindi vya live, mbele ya waandishi wa habari kupitia katibu wa Jukwaa hilo, Mtela Mwampamba wameyazungumza haya……….
>>>tunaposema kwamba Bunge lisionyeshwe live kwa sababu wananchi wanatakiwa wawe kazini na serikali pia masuala yao ya kiserikali kama ufunguzi wa daraja, ufunguzi wa Mwenge yasionyeshwe nayo live tusubiri yarekodiwe ili wananchi waendelee kufanya kazi, kama wanaonyesha live labda iwe sikukuu ya kitaifa’:-Mtela Mwampamba
Aidha Jukwaa hilo limezungumzia tabia ya baadhi ya wabunge kususia mijadala, vikao na shughuli nyingine za bunge kwa kuwa wamekuwa wakivunja katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara 63 (2) inayozungumzia uwezo wa bunge na majukumu ya bunge wamesema……
>>>’tabia hii ya kuendelea kususa inatunyima fursa sisi wananchi wa kawaida kuweza kujua mawazo mbadala, tumekuwa tunapata mawazo ya upande mmoja kwa sababu upande wa pili umekuwa na tabia ya kususa’ :-Mtela Mwampamba

index………………………………………………………….. Taarifa kuhusu Bomba la Mafuta Ghafi kutoka Tanga hadi Uganda Hatimaye Serikali ya Jamhuri ya Uganda imetangaza rasmi uamuzi wake wa kutumia Bandari ya Tanga nchini Tanzania kusafirishia mafuta ghafi yake. Uamuzi huo umetangazwa na Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, Rais wa Jamhuri ya Uganda wakati wa Mkutano Mkuu wa 13 wa Ushoroba wa Kaskazini uliomalizika Jijini Kampala Uganda. Ujumbe wa Tanzania ulio kamilisha mazungumzo hayo na hatimaye kushuhudia utangazwaji wa hatua hiyo uliongozwa na Mhe. Dkt. Augustine Mahiga, Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki Kikanda na Kimataifa Jopo la wataalamu kutoka Tanzania lililoongozwa na Mhe. Prof. Sospeter Muhongo bado wako jijini Kampala kukamilisha mpango huo wa Bomba la Mafuta Ghafi ambapo pia nchi nyingine za Afrika Mashariki na Kati zinatarajia kunufaika. Imetolewa na: Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Dar es Salaam 23 Aprili, 2015

Make Money Online : http://ow.ly/KNICZ

About Author

Advertisement

Chapisha Maoni

Top