Unknown Unknown Author
Title: Naibu Meya wa Jiji la Dar es salaam kapatikana leo April 21 2016
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
HOME Chaguzi za Meya wa Jiji la Dar es salaam ziliahirishwa mara tatu na baadaye ak...
HOME

Chaguzi za Meya wa Jiji la Dar es salaam ziliahirishwa mara tatu na baadaye akapatikana Diwani wa Kata ya Vijibweni, Temeke Isaya Mwita ‘Chadema’ kuwa shauku kubwa ilihamia kwenye kumjua atakayekuwa naibu wake.
April 21 2016 umefanyika uchaguzi wa Naibu Meya wa Jiji la Dar es salaam ambapo wajumbe 16 kati 18 walifika kwa ajili kushiriki uchaguzi huo. Matokeo ya uchaguzi yalimpa ushindi Diwani wa kata ya Kiwalani Musa Kafana ‘CUF’ ambapo alishinda kwa kura 10 na kumshinda mpinzani wake Diwani wa kata ya Mchafukoge Mariam Mohamed ‘CCM‘ aliyepata kura 6.
Kwa matokeo hayo Mussa Kafana ‘CUF’ ndiye amekuwa Naibu Meya wa Jiji la Dar es salaam
IMG-20160421-WA0005
.
IMG-20160421-WA0004
.                      via millardayo.com

About Author

Advertisement

Chapisha Maoni

 
Top