Unknown Unknown Author
Title: Ni ndugu na familia ya Liyumba pekee ndio walioona mwili wake wakati wa kuuaga
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
HOME Jumatano ya April 20 2016 ndio ilikuwa siku ya kuuaga mwili wa aliyekuwa mkuru...
HOME

Jumatano ya April 20 2016 ndio ilikuwa siku ya kuuaga mwili wa aliyekuwa mkurugenzi wa utumishi wa benk Kuu ya Tanzania Amatus Joachim Liyumba, marehemu ameagwa kwa baadhi ya watu kama familia na ndugu ndio walipewa nafasi ya kuona sura ya mwisho, hiyo inatokana na wosia wa marehemu kutotaka kuagwa na watu wengi.

About Author

Advertisement

Chapisha Maoni

 
Top