HOME
April 18 2016 zilitolewa taarifa za msiba wa aliyekuwa Mkurugenzi wa utumishi wa Benki Kuu Tanzania (BOT) Amatus Liyumba,
Liyumba alifariki dunia Hospitali ya Aga Khan kutokana na maradhi ya
kisukari na shinikizo la damu ambayo yalikuwa yakimsumbua kwa muda mrefu
mpaka dakika ya mwisho.
April 20 2016 Ndugu jamaa na marafiki
wamejitokeza kuaga mwili wa marehemu Amatus Liyumba ambapo mwili
utasafirishwa na mazishi yatafanyika kesho mkoani Morogoro.
Chapisha Maoni