

Kwa wenzetu nafasi ndio kila kitu, mtu anaweza kuwa na nyumba ndogo lakini alivyoipanga anapata kila kitu tena kwa kuvutia









Jiko, dinning na sebule hapohapo na nafasi imebaki…





Hapahapa
Tanzania nimeshawahi kuingia dukani na kukuta kitu kama hiki, kama
kabati dogo hivi la kuweka viatu kisha unafunga mtu akija haoni kitu

Tulizoea
kujiwekea taa za juu lakini hata hii design ya taa za chini kumulika
ukuta ni nzuri sana…. na uki-set vizuri hata taa za juu hutozihitaji.

Nyumba inapendeza zaidi nje kama hakuna rangi nyinginyingi na maua mengi, garden simple tu


Chapisha Maoni