Unknown Unknown Author
Title: PICHAZ 15: Profesa Jay alivyorudi tena jimboni kwake, safari hii sio mikono mitupu
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
HOME April 24 2016 mbunge wa jimbo la Mikumi Joseph Haule ambaye wengi tumemzoea k...
HOME
April 24 2016 mbunge wa jimbo la Mikumi Joseph Haule ambaye wengi tumemzoea kwa jina la Profesa Jay amerudi tena jimboni kwake na kuendelea kuhakikisha ahadi zake za kuleta maji safi na salama katika jimbo lake zinatekelezeka kwa vitendo na sio maneno matupu.
1 (7)
Profesa Jay April 24 2016 alirudi katika jimbo la Mikumi kijiji cha Ruembe kutoa shukrani kwa wananchi kwa kumchagua, hiyo ilikuwa ni baada ya kutoa msaada wa mabomba yenye thamani ya Tsh Milioni 10 kata ya Ruaha jimbo la Mikumi, Profesa Jay anapeleka msaada huo ikiwa ni siku nane zimepita toka April 16 alivyotembelea eneo hilo.
1 (5)
1 (8)
1 (10)
1 (14)
b (1)
b (3)
b (4)
b (11)
b (12)
b (15)
1 (1)
1 (3)
1 (4)
                                           SOURCE:MILLARDAYO.COM

About Author

Advertisement

Chapisha Maoni

 
Top