HOME
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Mathias Meinrad Chikawe kuwa Balozi mpya wa Tanzania nchini Japan,
Ikulu jijini Dar es Salaam April 19, 2016

Rais Dkt. Magufuli akimpongeza Mathias Meinrad Chikawe mara baada ya kumuapisha kuwa Balozi Mpya wa Tanzania nchini Japani
Rais
Dkt. Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Balozi mpya wa Tanzania
nchini Japan Mathias Chikawe pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi
Mhandisi John Kijazi Ikulu jijini Dar es Salaam




Chapisha Maoni