HOME
Mwenyekiti
wa Jmuiya ya Wanataaluma Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOMASA), Mhadhiri
Msaidizi, Edson Baradyana akitoa shukurani kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,
Jordan Lukimbana kwa kukubali kufungua kongamano hilo.
Baadhi ya wanachuo na wanataaluma wakishiriki kwenye kongamano hilo la miaka 52 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Jopo la wawezeshaji wa kongamano hilo
RC
Rugimbana akizungumza jambo na Makamu Mkuu wa Chuo cha UDOM, Kikula
kabla ya kuondoka. Kushoto ni Mwenyekiti wa Udomasa, Paradyana.
Rugimbana akiagana na wahadhiri wa Udom
Rugimbana akiteta jambo na Profesa Kikula
Wakiwa katika picha ya kumbukumbu
Mhadhili wa UDOM, Profesa Davis Mwanfupe akitoa mhadharakuhusu umuhimu wa wanataaluma kuuenzi Muungano
Chapisha Maoni