HOME
Wengi hujaribu kuhisi kuwa pengine watu
wanaotumia mkono wa kushoto kwa kufanya shughuli zao huwa wanajifunza
matumizi ya mkono huo,wengine huwa wanafika mbali na kujaribu kuhisi
huenda labda mtu huyo atakuwa ameumia mkono wa kulia hivyo ameamua
kutumia mkono wa kushoto.
2,Baadhi ya watu
maarufu duniani ambao hutumia au walitumia mkono wa kushoto kufanya
shughuli zao ni pamoja na Napoleon,Da Vinci,Isack Newton,Bill
Gates,Oprah,Barack Obama na Jimi Hendrix.
9,Asilimia 39 ya watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsi moja hupendelea kutumia mkono wa kushoto kuliko wa kulia.
USIYOYAJUA KUHUSU WANAOTUMIA MKONO WA KUSHOTO
Title: USIYOYAJUA KUHUSU WANAOTUMIA MKONO WA KUSHOTO
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
HOME NEWS ROOM KATI ya vitu au jambo ambalo huwashinda watu wengi kuamini na hata mara nyingine kudiriki kulitungia uwongo ni ju...
Chapisha Maoni