HOME
Mmoja
wa wafanyakazi wa UN Tanzania (aliyesimama), akizungumza na Wanafunzi
wa Shule ya Kimataifa ya Tanganyika (International School of
Tanganyika-IST) kuelezwa namna ofisi hiyo inavyo pambana kutetea haki
mbalimbali za msingi kwa watoto popote duniani. Wanafunzi hao
walitembelea ofisi za Umoja wa Mataifa nchini Tanzania kujifunza mambo
anuai.Mmoja
wa wafanyakazi wa UN nchini Tanzania (kulia), akitoa somo kwa Wanafunzi
wa 'International School of Tanganyika-IST' waliotembelea ofisi hiyo
nchini Tanzania kujifunza shughuli mbalimbali za msingi zinazofanywa na
UN.Baadhi
ya Wanafunzi wa Shule ya Kimataifa ya Tanganyika (International School
of Tanganyika-IST) wakijibu maswali mara baada ya kuelezwa namna ofisi
ya Umoja wa Mataifa, UN zinavyo pambana kutetea haki mbalimbali za
msingi kwa watoto.Baadhi
ya Wanafunzi wa Shule ya Kimataifa ya Tanganyika (International School
of Tanganyika-IST) wakifuatilia maelezo toka UN ya namna ofisi hizo za
Umoja wa Mataifa zinavyofanya kazi hasa kutetea haki mbalimbali za
msingi kwa watoto. Nyuma ni baadhi ya walimu wa IST walioambatana na
wanafunzi hao.Mmoja
wa wafanyakazi wa UN Tanzania (aliyesimama), akizungumza na Wanafunzi
wa Shule ya Kimataifa ya Tanganyika (International School of
Tanganyika-IST) kuelezwa namna ofisi hiyo inavyo pambana kutetea haki
mbalimbali za msingi kwa watoto popote duniani. Wanafunzi hao
walitembelea ofisi za Umoja wa Mataifa nchini Tanzania kujifunza mambo
anuai.Mmoja
wa wafanyakazi wa UN Tanzania (aliyesimama mbele), akizungumza na
Wanafunzi wa Shule ya Kimataifa ya Tanganyika (International School of
Tanganyika-IST) kuelezwa namna ofisi hiyo inavyo pambana kutetea haki
mbalimbali za msingi kwa watoto popote duniani. Wanafunzi hao
walitembelea ofisi za Umoja wa Mataifa nchini Tanzania kujifunza mambo
anuai.Mmoja
wa wafanyakazi wa UN Tanzania (aliyesimama kulia), akizungumza na
Wanafunzi wa Shule ya Kimataifa ya Tanganyika (International School of
Tanganyika-IST) kuelezwa namna ofisi hiyo inavyo pambana kutetea haki
mbalimbali za msingi kwa watoto popote duniani. Wanafunzi hao
walitembelea ofisi za Umoja wa Mataifa nchini Tanzania kujifunza mambo
anuai.Baadhi
ya Wanafunzi wa Shule ya Kimataifa ya Tanganyika (International School
of Tanganyika-IST) wakiwa katika picha ya pamoja na wenyeji wao mara
baada ya ziara yao ya mafunzo kutembelea Ofisi za UN Tanzania..
About Author
The part time Blogger love to blog on various categories like Web Development, SEO Guide, Tips and Tricks, Android Stuff, etc including Linux Hacking Tricks and tips. A Blogger Template Designer; designed many popular themes.
Advertisement
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Chapisha Maoni