NEWSROOM NEWSROOM Author
Title: HOME VIDEO: ‘Ni aibu miaka 50 ya Uhuru bado tunajadili madawati’-Mbunge Mbaruku Bakari
Author: NEWSROOM
Rating 5 of 5 Des:
Najua kuna watu wangu wao damdam na stori za Bungeni, kiapo changu ni kuhakikisha nazisogeza zote zinazonifikia ili kuuweka ukari...


Najua kuna watu wangu wao damdam na stori za Bungeni, kiapo changu ni kuhakikisha nazisogeza zote zinazonifikia ili kuuweka ukaribu wa kuzipata. Wakati Bunge la 11 linaendelea nakukutanisha na Mbunge wa Tanga Mjini Mbaruku Bakari aliyesimama kuchangia bajeti ya  Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi.

ULIIKOSA HII? KUNA MAMBO HAYAMPENDEZI ZITTO KABWE KWENYE ELIMU YA TANZANIA, KAYAONGEA BUNGENI


About Author

Advertisement

Chapisha Maoni

 
Top