NEWSROOM NEWSROOM Author
Title: Kongamano la kuzuia ukatili wa wanawake na watoto Tanzania lafanyika jijini Dar
Author: NEWSROOM
Rating 5 of 5 Des:
HOME Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii ,Jinsia ,Wazee na Watoto, Sihaba Nkinga akifungua kongamano la wadau wanao...
HOME


Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii ,Jinsia ,Wazee na Watoto, Sihaba Nkinga akifungua kongamano la wadau wanao jadili uwezeshaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa Kuzuia Ukatili dhidi ya Wanawake na watoto nchini Tanzania unaofanyika Bahari Beach Hotel- Ledger Plaza Kunduchi ,Dar es salaam Tarehe 30/5/2016.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano la uwezeshaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa Kuzuia Ukatili dhidi ya Wanawake na watoto nchini Tanzania Wadau wakifuatilia kwa makini hotuba ya Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii ,Jinsia Wazee na Watoto, Sihaba Nkinga  unaofanyika Bahari Beach Hotel- Ledger Plaza Kunduchi ,Dar es salaam tarehe 30/5/2016
Kaimu Muwakilishi wa UNCEF Bwana, Paul Edward akitoa hotuba fupi kwenye kongamano la wadau wanao jadili uwezeshaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa Kuzuia Ukatili dhidi ya Wanawake na watoto nchini Tanzania unaofanyika Bahari Beach Hotel- Ledger Plaza Kunduchi, Dar es salaam Tarehe 30/5/2016.
Muwakilishi wa UN WOMEN BIbi, Anna collins akitoa nasaha kwenye kongamano la wadau wanao jadili uwezeshaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa Kuzuia Ukatili dhidi ya Wanawake na watoto nchini Tanzania unaofanyika Bahari Beach Hotel- Ledger Plaza Kunduchi, Dar es salaam Tarehe 30/5/2016.
Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii ,Jinsia ,Wazee na Watoto, Sihaba Nkinga  akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi/ wawakilishi wa taasisi mbali mbali walio shiriki kongamano la uwezeshaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa Kuzuia Ukatili dhidi ya Wanawake na watoto nchini Tanzania unaofanyika Bahari Beach Hotel- Ledger Plaza Kunduchi ,Dar es salaam tarehe 30/5/2016.

About Author

Advertisement

Chapisha Maoni

 
Top