Mwaka 1986
Khalid Yousef Al Marzouq alikuwa na wazo la kujenga mji katika jangwa,
Al Marzouq alikufa lakini mwanae Fawaz ameifuata ndoto ya baba yake
ambayo imezaa matunda na ujenzi huo ulianza 2003 baada ya kuchelewa
kutokana na vita ya ghuba.
Eneo hilo
ambalo liko mpakani mwa Kuwait na Saudi Arabia halikuonekana kama ni
eneo sahihi la kutengeneza mji mpya lakini Mji huo wa ajabu umejengwa
kwenye jangwa kwa kuivuta bahari nchi kavu kwa mfumo unaoitwa ingenious
system of tidal gates, mfumo ambao umeileta bahari mile 6 nchi kavu. Mji
huo unaweza kuchukua nyumba 250,000.
ULIKOSA EXCLUSIVE YA BELLE 9 ON AIR WITH MILLARD AYO? UNAWEZA KUTAZAMA VIDEO HII HAPA CHINI
Chapisha Maoni