Spika
wa Bunge Mhe Job Ndugai akisalimiana na Kamishna Mkuu wa Sekretarieti
ya Maadili, Jaji Salome Kaganda wakati alipofanya mazungumzo naye
ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika
wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Kamishna Mkuu wa Sekretarieti ya
Maadili, Jaji Salome Kaganda ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika
wa Bunge Mhe Job Ndugai akimsikiliza Kamishna Mkuu wa Sekretarieti ya
Maadili, Jaji Salome Kaganda wakati alipozungumza naye ofisini kwake
Mjini Dodoma.
Spika
wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Simon Msanjila ofisini kwake Mjini
Dodoma.
Chapisha Maoni