Bunge la 11 limeendelea Dodoma, May 17 2016 ilikuwa ni zamu ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kuwasilisha hotuba yake pamoja na kuomba kupitishiwa bajeti yake ijayo. Kazi iliyofanywa na Waziri wake Makame Mbarawa.
Katika michango ya bajeti nakukutanisha na Mbunge wa Nkasi Ali Kessy akichangia katika Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kuhusu Serikali kujiwekeza katika ujenzi wa Viwanja vya ndege wakati hakuna barabara za kutosha.
Chapisha Maoni