Headlines za Bunge bado zinaendelea kuchukua nafasi ambapo leo May 24 2016 Wizara ya Malisili na Utalii iliwasilisha bunge makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2016/2017. Bajeti iliyosomwa na Waziri Jumanne Maghembe .
Wabunge mbalimbali walipata nafasi ya kuchangia bajeti hiyo, na hapa nakukutanisha naMbunge wa Bukombe Doto Biteko ambaye yeye kaguguswa kitendo cha matukio ya baadhi ya Askari Polisi kuua mifugo.
Chapisha Maoni