NEWSROOM NEWSROOM Author
Title: VideoFUPI: Rais Magufuli yuko nje ya nchi, ikiwa ni safari yake ya pili tangu aingie madarakani
Author: NEWSROOM
Rating 5 of 5 Des:
HOME April 2 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jonh Magufuli alifanya safari yake ya kwanza nchini Rwanda tangu aingi...
HOME

April 2 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jonh Magufuli alifanya safari yake ya kwanza nchini Rwanda tangu aingie madarakani. Leo May 11 2016 Rais Magufuli ameingia tena kwenye headline ambapo taarifa zinasema mapema leo Rais Magufuli ametua nchini Uganda ikiwa ni safari yake ya pili kwenda nje tangu aingie madarakani.
Rais Magufuli amewasili katika uwanja wa ndege wa Entebbe nchini Uganda kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Yoweri Museveni kesho.

About Author

Advertisement

Chapisha Maoni

 
Top