DODOMA
Baada ya Wizara ya fedha na mipango kuomba kuidhinishiwa zaidi ya trilion 9.5 kama bajeti yake kwa mwaka wa fedha 2016/2017. Mbunge wa viti maalum CCM Kiteto Koshuma amesimama bungeni na kuhoji kuhusu bilioni 50 za Rais Magufulializoahidi wakati wa kampeni kuwa hazitoshi kumfikia kila Mtanzania hivyo anashauri ziongezwe.
ULIIKOSA HII? WAZIRI MPANGO ALIVYOOMBA KUIDHINISHIWA TRILION 9.5 ZA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO
Chapisha Maoni