HOME
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba baadhi ya barabara mkoani Dodoma zimefungwa ili kuzuia maandamano yaliyopangwa kufanywa na chadema mkoani humo.
BARABARA ZAFUNGWA DODOMA MAANDAMANO YA CHADEMA
Dunia yetu |
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba baadhi ya barabara mkoani Dodoma zimefungwa ili kuzuia maandamano yaliyopangwa kufanywa na chadema mkoani humo.
Barabara zizofungwa ni barabara kuu kutokea Stend
kuelekea Morogoro, na barabara ya Dodoma Inn kutokea bungeni zimefungwa huku
bado viongozi wa chama hicho wanasisitiza kuendelea kuandamana mkoani humo.
Chapisha Maoni