Unknown Unknown Author
Title:
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
HOME Hatari Shinyanga_ HIVI NDIVYO POLISI WAMEJIPANGA KUPAMBANA NA WAANDAMANAJI WA CHADEMA SHINYANGA Hivi ndivyo jeshi...
HOME

Hatari Shinyanga_ HIVI NDIVYO POLISI WAMEJIPANGA KUPAMBANA NA WAANDAMANAJI WA CHADEMA SHINYANGA

Hivi ndivyo jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga limejipanga kukabiliana na maandamano yaliyotangazwa na Chadema jana ya kupinga bunge la katiba ambayo yalitarajiwa kufanyika kuanzia leo saa mbili asubuhi lakini mpaka sasa hakuna kiongozi wa chama hicho aliyejitokeza,hata ofisi ya Chadema imefungwa
Ofisi ya Chadema mkoa wa Shinyanga ikiwa imefungwa
 Askari wakiwa mtaani
 FFU wakiwa mtaani kukabiliana na waandamanaji kama watajitokeza leo.

Endelea kutembelea blog hii kwa taarifa zaidi......

Picha zote na Kadama Malunde-Shinyanga

About Author

Advertisement

Chapisha Maoni

 
Top