Unknown Unknown Author
Title:
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
HOME DKT. SHEIN AYAPOKEA MATEMBEZI YA VIJANA WA UVCCM,ZANZIBAR Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mo...
HOME

DKT. SHEIN AYAPOKEA MATEMBEZI YA VIJANA WA UVCCM,ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akikagua gwaride la Chipukizi wa UVCCM wakati alipofika katika viwanja vya Mnazi Mmoja leo Mjini Zanzinar kupokea matembezi ya Umoja wa UVCCM yenye lengo la kuwaenzi Viongozi na kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Vijana wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM wakiwa wamebeba Bendera na Picha za Viongozi wakati wa kilele cha matembezi ya Umoja wa UVCCM yenye lengo la kuwaenzi Viongozi na kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyopokelewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja.
Vijana wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM wakiwa katika matembezi ya Umoja wa UVCCM yenye lengo la kuwaenzi Viongozi na kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyopokelewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibarleo katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekti wa CCM Zanzibar akipokea matembezi ya Vijana wa Umoja wa UVCCM yaliyofikia kilele chake leo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja ikiwa ni kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kushoto) Mwenyekiti wa UVCCM Sadifa Juma Khamis.
Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wakiwepo wa UVCCM wakisimama wakati Makamo Mwenyekti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea matembezi ya Vijana wa Umoja wa UVCCM yaliyofikia kilele chake leo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja ikiwa ni kuadhimisha miaka 51 ya mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Vijana wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakiwa katika matembezi ya Umoja wa UVCCM yenye lengo la kuwaenzi Viongozi na kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyopokelewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar leo ambapo kilele chake katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akipokea picha za Viongozi kutoka kwa kiongozi wa Matembezi ya UVCCM Daudi Ismail Juma Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kupitia UVCCM wakati wa kilele cha Matembezi ya kuwaenzi Viongozi na kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akimkabidhi Picha ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Mwenyekiti wa UVCCM Sadifa Juma Khamis baada ya kuyapokea matembezi ya Vijana wa UVCCM yaliyofikia kilele chake leo katika viwanja wa Mnazi Mmjoa Mjini Unguja katika kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akipokea Bendera kutoka kwa Kiongozi wa Matembezi ya UVCCM Daudi Ismail Juma Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC)kupitia UVCCM wakati wa kilele cha Matembezi ya kuwaenzi Viongozi na kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja.
Vijana wa Chipukizi wakipita kwa gwaride la mwendo wa haraka mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibarwakati wa kilele cha matembezi ya Umoja wa UVCCM yenye lengo la kuwaenzi Viongozi na kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar leo katika viwanja vya Mnazi mmoja mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekti wa CCM Zanzibar akimkabidhi Cheti Mke wa Makamo wa Pili wa Rais Mama Asha Suleiman kwa niaba ya Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Idii kwa mchango wake mkubwa kufanikisha matembezi ya Vijana wa Umoja wa UVCCM yaliyofikia kilele chake leo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja ikiwa ni kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kushoto) Mwenyekiti wa UVCCM Sadifa Juma Khamis.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekti wa CCM Zanzibar akimkabidhi Cheti Makamo Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa Pili Hassan Suluhu wakati wa matembezi ya Vijana wa Umoja wa UVCCM yaliyofikia kilele chake leo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja ikiwa ni kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kushoto) Mwenyekiti wa UVCCM Sadifa Juma Khamis.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekti wa CCM Zanzibar akitoa hutuba yake wakati wa Kilele cha matembezi ya Vijana wa Umoja wa UVCCM yaliyofikia leo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja ikiwa ni kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kushoto) Mwenyekiti wa UVCCM Sadifa Juma Khamis.

Baadhi ya Vijana wa UVCCM wakimasikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekti wa CCM Zanzibar alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa Kilele cha matembezi ya Vijana wa Umoja wa UVCCM yaliyofikia leo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja ikiwa ni kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kushoto) Mwenyekiti wa UVCCM Sadifa Juma Khamis.Picha na Ikulu.

About Author

Advertisement

Chapisha Maoni

 
Top