HOME

Kwenye zile SELFIE amazing, ziko hizi kumi nimekuwekea pichaz na Video!
Utafiti wa mwaka 2013 unaonyesha wanawake wa Australia wanaongoza kwa kujipiga Selfie kwa lengo la kuweka katika mitandao kijamii kama Facebook, Instagram, na Twitter.
Unaambiwa katika zile kali zaidi kuna hizi kumi nimekuwekea hapa, nyingine zinashtua, lakini nyingine ni balaa!
Hakujali kwamba atapigwa na ng’ombe, alipiga Selfie yake huku anakimbizwa.
Huyu alipiga Selfie na papa.
Hawa walitumia Selfie stick, juu kabisa ya ghorofa.
Hapa kwenye pozi na chui.
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.