HOME
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Amiri Jeshi Mkuu wa Vyombo vya Ulinzi na usalama akipewa heshima na vikosi vya ulinzi mara baada ya kuwasili katika sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar ziizofanyik katika uwanja wa michezo wa Amani mjini Zanzibar January 12, 2015
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mwenyeji wake Rais Wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein wakati wa sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar ziizofanyik katika uwanja wa michezo wa Amani mjini Zanzibar January 12, 2015
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mama Fatma Karume muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa michezo wa Amani mjni Zanzibar kushiriki sherehe za maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na marais wastaafu awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi mara baada ya kuwasili katika sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar ziizofanyik katika uwanja wa michezo wa Amani mjini Zanzibar January 12, 2015
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na marais wastaafu awamu ya tatu Benjamin Mkapa mara baada ya kuwasili katika sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar ziizofanyik katika uwanja wa michezo wa Amani mjini Zanzibar January 12, 2015
Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia jambo wakati akizungumza na mwenyeji wake Rais wa Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein wakati wa maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Vikosi vya ulinzi na usalama vikipita mbele ya ja jukwaa kuu la viongozi katika sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar ziizofanyik katika uwanja wa michezo wa Amani mjini Zanzibar January 12, 2015
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE AHUDHURIA NA KUSHIRIKI SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR JANUARY 12, 2014

Chapisha Maoni