Unknown Unknown Author
Title:
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
HOME Utafiti umefanyika kuhusu wanaopenda SELFIE, matokeo yanaonyesha wana hii tabia… Wale wapenzi wa SELFIE naomba kushare...
HOME

Utafiti umefanyika kuhusu wanaopenda SELFIE, matokeo yanaonyesha wana hii tabia…

Selfie Woman
Wale wapenzi wa SELFIE naomba kushare na nyie watu wangu hii story.
Kuna utafiti uliofanywa na Ohio State University Marekani, unahusu masuala ya athari zinazoweza kusababishwa na watu kupendelea kupiga Selfie na kupost kwenye mitandao kama Istagram.
Jumla ya watu waliofanyiwa utafiti huo walikuwa 800, umri wao ulikuwa kati ya miaka 18 na 40.
Matokeo yanaonyesha kuwa watu wanaopenda kujipiga Selfie wakiwa peke yao wanakuwa na tabia ya ubinafsi na hawapendi kujichanganya na watu wengine.
Tabia hiyo inaonenaka ‘imekomaa’ zaidi kwa wale wanaopenda kuedit Selfie zao kabla hawajapost kwenye mitandao.
Hayo ni matokeo yao, wewe unasemaje hapo mtu wangu, eti ni kweli? Nitafurahi ukiniandikia chochote kuhusu hii.
Unahitaji kupata kila stori inayonifikia mtu wangu? Ni rahisi sana, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza hapa >>>twitter>>>facebook

About Author

Advertisement

Chapisha Maoni

 
Top