HOME
9. Bora Bora, French Polynesia
8. Phuket, Thailand
7. Mauritius, Africa
6. Mallorca, Spain
5. Bali, Indonesia
4. Providenciales, Turks and Caicos
3. Jamaica, Caribbean
2. Santorini, Greece
1. Maui, Hawaii
Duniani
zipo sehemu nzuri na za kuvutia zaidi, maeneo mengi ya visiwani
yanawezekana yakaongoza kwa kuvutia kutokana na kuwa na mazingira mazuri
ya asili yanayovutia, watu wengi hutumia maeneo haya kwa ajili ya
mapumziko na utalii.
Mtandano wa CNN wametoa hii list ya Top Ten ya visiwa bora zaidi duniani 2016
10. Fernando de Noronha, Brazil
Idadi ya watu wanaoruhusiwa kutembelea fukwe ya Fernando de Noronha ina kiwango
Fukwe
zenye mchanga mweupe na rasi ya bluu ni sababu mbili ambazo zimeifanya
Bora Bora kuwa kwenye nafasi ya tisa kwa mwaka wa pili mfululizo
.
.
.
Bali ni kati beach nzuri inayojulikana lakini pia ina mfumo wa matuta ya mchele ambayo yanalindwa na UNESCO
Inajulikana kama ‘Provo’ Providenciales ni kisiwa kilichoendelea sana.
Haikuwa kwenye orodha ya Top ten mwaka uliopita lakini sasa imefika hadi nafasi ya tatu
Kisiwa hiki kina Mabaki ya Volcano iliyolipukia kwenye bahari ya Aegean na ina beach yenye mchanga mweusi
kisiwa hiki kina beach nzuri na zenye kuvutia zaidi ya 80
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.