HOME
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akihutubia wananchi wa Kigamboni kabla ya kufungua Daraja la Kigamboni
katika wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar es salaam Aprili 19, 2016

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akikata utepe huku viongozi wengine wakiushikilia kuashiria ufunguzi
rasmi wa Daraja la Kigamboni katika Wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar
es salaam Aprili 19, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akipata picha ya kumbukumbu viongozi wengine baada ya uzinduzi rasmi wa
Daraja la Kigamboni katika wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar es
salaam Aprili 19, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akiteta jambo na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dkt Ramadhani Dau
wakati wa uzinduzi rasmi wa Daraja la Kigamboni katika wilaya mpya ya
Kigamboni jijini Dar es salaam Aprili 19, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na viongozi wengine wakitembea juu ya Daraja la Kigamboni baada ya kulizindua katika wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar es salaam Aprili 19, 2016

Muonekano wa daraja la kigamboni lililofunguliwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na viongozi wengine wakitembea juu ya Daraja la Kigamboni baada ya kulizindua katika wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar es salaam Aprili 19, 2016
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.