NEWSROOM NEWSROOM Author
Title: VIDEO: Top 10 ya kali zilizobamba Bungeni wiki hii, vituko havijakosekana..
Author: NEWSROOM
Rating 5 of 5 Des:
HOME Kama na wewe unafuatilia ishu za bungeni basi najua kabisa utaenjoy nikikuweka karibu kabisa na  hizi video 10 zilizobamba ...
HOME

Kama na wewe unafuatilia ishu za bungeni basi najua kabisa utaenjoy nikikuweka karibu kabisa na  hizi video 10 zilizobamba wiki hii kwenye vikao vya bunge la 11 linaloendelea.
1. WABUNGE WAMECHEKA LAKINI ALLY KESSY KAFIKISHA UJUMBE WAKE

2.JOSHUA NASSARI VS WAZIRI LUKUVI BUNGENI ISHU IKIWA MIGOGORO YA ARDHI

3.PROFESA JAY KASIMAMA TENA BUNGENI… UZOEFU UMEONGEZEKA

4.’KABLA HATUJAINGIA BUNGENI TUWE TUNAPIMWA KAMA TUMEVUTA BANGI’ – MBUNGE ULEGA

5.KABLA YA KUONGELEA WANAUME KUTOOA WANAWAKE WAZURI MBUNGE BASHUNGWA ALIYAONGEA HAYA

6.MBUNGE HALIMA BULEMBO KATUSAIDIA KUIPATA TAKWIMU YA WANAFUNZI TANZANIA

7.KUNA MAMBO HAYAMPENDEZI ZITTO KABWE KWENYE ELIMU YA TANZANIA, KAYAONGEA BUNGENI

8.’WAZIRI UNATENGA FEDHA BILIONI 8 KUJENGA OFISI YAKO WAKATI WANAFUNZI WANAKAA CHINI’-MBUNGE PAULINE

9.’NI AIBU MIAKA 50 YA UHURU BADO TUNAJADILI MADAWATI’-MBUNGE MBARUKU BAKARI

10.’TUNASEMA ELIMU YETU INASHUKA WAKATI HATUJAJENGA MISINGI IMARA’-BONNAH KALUWA


About Author

Advertisement

Chapisha Maoni

 
Top