HOME
Mbali na adhabu hiyo bado Scott anaendelea kuwa Rais wa Zambia mpaka atakapochaguliwa Rais mwingine kwenye uchaguzi utakaofanyika mwakani, japo yeye hatokuwa na nafasi ya kugombea kiti hicho tena.
Huyu ndiye Rais aliyevuliwa cheo cha uongozi wa Chama.
Ndani
ya kipindi cha mwezi mmoja tangu ateuliwe kushika nafasi ya Urais baada
ya kufariki kwa aliyekuwa Rais wa Nchi ya Zambia Michael Sata, Guy
Scott amesimamishwa uongozi wa chama cha Patriotic Front kutokana na
kuvunja katiba ya chama hicho.
Scott ameshutumiwa na Chama hicho kwamba
amekuwa akitumia vyombo vya habari kujitangaza yeye zaidi na kujitenga
na agenda za chama chake na amekuwa akifanya maamuzi mengi bila ya
kushirikisha chama chake.
Mbali na adhabu hiyo bado Scott anaendelea kuwa Rais wa Zambia mpaka atakapochaguliwa Rais mwingine kwenye uchaguzi utakaofanyika mwakani, japo yeye hatokuwa na nafasi ya kugombea kiti hicho tena.
Chapisha Maoni